Saturday, June 10, 2017

Ndoto ya kweli

Karibu msomaji wa Angelotogo blog ni matumaini yangu kua unaendelea kufanya jitihada mbalimbali ili kuhakikisha unatimiza  ndoto zako.
 
NDOTO YA KWELI NI IPI?
Kila mtu ana ndoto zake mbalimbali ,kinacho tutofautisha ni kama ndoto yako ni ya kweli au sio ya kweli
Ndoto ya kweli "ni jambo linalo kunyima usingizi na linakufanya ukeshe ili uweze kulifanikisha ,kwa mfano  unatamani kuwa mwanariadha itakubidi mda wako mwingi utumike katika kufanya mazoezi.
  Ndoto zinazokuja ukiwa umelala hizo sio za kweli mpaka ukiamka nakuanza kufanya jitihada ili ufanikishe ulicho kiota usingizini .
  Kumbuka hata kumuamini Mungu ,hauufanyi mlima uwe mfupi bali ,husaidia kukufanya uweze kukwea huo mlima kwa urahisi , ndoto hutimia tu kwa wale wanao jituma kwa juhudi zote.
Ili utimize mambo makubwa inakupasa uweze kua na uwezo wa kutenda ,sio kutenda tu bali uwe na mipango,ndoto na uvumilivu.
Please share with your friends, family to inspire them to live better life.
Ni rafiki yako; Michael Angelo Togo
Barua pepe; michaeltogo99@gmail.com
(0766746918) whatsap

0 maoni: