Nikiwa shuleni mwalimu wangu alikua akitueleza mara kwa mara kuhusu umuhimu wa nafasi ya kwanza katika maisha lakini ilikua ni njia ya kutufanya tuujali mda tulio nao hivyo mara zote nilijitahidi kutumia vizuri nafasi ya kwanza katika maisha
Kwanini nafasi ya kwanza ???
Kulikua na kijana mmoja aliye kua amesha jiandaa vizuri katika maisha, alkua amefikia kiasi cha kuhitaji kuoa, Katika harakati zake za kutafuta ni binti yupi atakae muoa alifanikiwa kukutana na binti mzuri wa kuvutia vigezo alikua navyo vyote, yule kijana alijipanga na siku moja akafika kwao yule binti na kueleza lengo lililo mpeleka lakini yule kijana siku hiyo alienda akiwa amevaa nguo mbaya, na zimejikunja kweli waweza kudhani ndama wa ng'ombe amezitafuna
Yule binti hakua tayari kuolewa na yule kijana ambaye ni mchafu na zaidi yule binti alihisi kijana ni maskini sana hivyo binti alikataa
Baada ya kijana kukosa furaha ilikua yapata karibu wiki moja akarudi tena kwa uhalisia wake akiwa na gari lake zuri na mavazi mazuri,

Siku hiyo yule binti hakua tayari kwani aliamini kua yule kijana atakua ameazima lile gari na mavazi pia
Hivyo kijana akamkosa binti ambaye yupo moyoni mwake
Kumbe nafasi ya kwanza katika maisha ni muhimu sana na sio jambo zuri kutegemea sana nafasiya pili
*******
Kwanini utoe nafasi ya pili?
Nimekuandalia sababu za msingi kwa nini utoe nafasi ya pili ila usitegemee sana kupewa nafasi ya pili
1:" Inakuathili vyovyote? ??"
Kama haikuathili vyovyote ni vyema utoe nafasi ya pili kwani nafasi ya pili humfanya ajitahidi sana zaidi ya mara ya kwanza, kwa kua anafahamu sababu iliyo mfelisha mara ya kwanza
2:"Usihikumu sana "
Binadamu wote hukosea, hivyo mwenzako akikosea usimuone kama mtu dhaifu na asiye Jua lolote
Kwani ukipenda kuhukumu sana ipo siku utafanyiwa vivyo hivyo
3:"jinsi mtu anavyo onekana kwa nje husadifu namna anavyo fikiri na hali yake ya kiakiri wakati huo ,japo kutokana na changamoto za kimaisha binadamu wengi hatupendi kila mtu ajue matatizo na changamoto zetu za maisha
4:"
Siku zote naamini kwamba hakuna aliye chelewa katika maisha hivyo aliye kosa nafasi ya kwanza bado ananafasi pia kwani ni swala la muda tu naamini wewe mwenyewe u nawafahamu watu walio kosa nafasi ya kwanza katika nyanja tofauti za kimaisha lakini kwa sasa wamefanikiwa sana

************
Kwa ushauri na maoni zaidi
Facebook :Michael Angelo Togo
Email address :michaeltogo99@gmail.com phone number :0766746918
Ahsante

0 maoni: