Karibu msomaji wa angelotogo blog . Ni matumaini yangu kua u mzima wa afya Tujifunze kuhusu Upendo
"Upendo ni ukaribu baina ya watu wawili "kupenda sio swala la hisia mtu anazo kua nazo bali
Upendo ni maamuzi ya kuamua kutimiza mahitaji ya mtu mwingne
Kama mwanaume kuna mambo ya muhimu ya kufanya kabla ya kuoa
"Kuna mambo muhimu matatu ambayo ni "
1Uwepo wa mungu kama umedhamilia kuoa inabidi mkutane katika uwepo wa mungo
2:Kufanya kazi jitahidi kutafuta ajira kabla ya kuoa waweza kujiajiri au kuajiriwa kumbuka unavyo amua kuoa tayari upande wa mama mkwe waweza hitaj msaada kwa binti yao na hilo swala linakuhusu indirectly
3:Panda "cultivate "
Kumbuka mwana mke ambaye unatamani uwe nae maishani hayupo duniani lakini yupo kichwani kwako
Ukisha oa waweza kumfanya awe na ubora unao uhitaji kwa mfano labda hajui kiswahili vizuri mtaftie tuition asome awe bora zaid hiyo ndio maana ya kupenda
Ahsante
Kazi nzuri kijana, keep it up dude
ReplyDeleteAhasnte kaka
DeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDelete