Karibu msomaji wa angelotogo blog. Ni matumaini yangu kua umeamka salama na unapumua kwa upendo wa Mungu
Tujifunze kuhusu mambo ambayo hukujifunza shuleni
Tujifunze kuhusu mambo ambayo hukujifunza shuleni
Nianze na swali
Nini ulijifunza shuleni?
Nini hukujifunza shuleni?
Nini ulijifunza shuleni?
Nini hukujifunza shuleni?
Kuna mtu yeyote alikufundisha namna ya kujisimamia mahala pa kazi
Hii ndio tofauti iliyopo kati ya kuhitimu chuo na kuanza kufanya kazi
Tuna hitimu chuo tukiwa na shauku na malengo mzuri ni kila mtu hujiona special lakini ni namna gani unapanga kujisimamia? ?
Simaanishi kufanya kazi kwa mda mrefu au kujipendekeza kwa muajiri wako
Ni swala dogo linalo leta tofauti kubwa
Hapa nimekuwekea mambo matatu ambayo hukujifunza shuleni lakini yatakufanya ujisimamie mahala pa kazi katika namna nzuri
1:"hakuna kilicho chini yako"
Kujitoa ni jambo dogo lakini lenye manufaa makubwa mno kwa mfano kuna mtu anagonga mlango mfungulie hata kama wewe sio mtu wa mapokezi unacho tukiwa kufahamu kila unacho kifanya Lazima kuna mtu karibu yako anaangalia namna ya kujitoa kwako
Kwa mfano miongoni mwa watu walio fanikiwa zaidi duniani ninao wafahamu ni Warren buffet ambaye mwanzo alikua akisambaza magazeti kwa watu
2:"kua na mpango "
Mpango ni uchunguzi unao fuatiwa na jitihada za haraka
Chunguza kila kinacho endelea mahala pa kazi punde utaanza kugundua tabia za watu wanao kuzunguka na mahitaji yao
3:"kua na nia ya kujifunza vizuri"
Jitoe kusaidia sana, Jitoe kufanya kazi sana ,nenda zaidi ya ulicho pangiwa endapo umesha maliza ulicho pangiwa ikibidi nenda kwa bosi wako muulize kama anahtaji msaada wako
Japo ni mara chache sana watu kuulizia kazi ya ziada, ikitokea ukaulizia kazi ya ziada kwa bosi wako utakumbukwa milele
Acha unga wa kufikiria labda kujitoa itampatia faida kubwa muajiri wako au mshahara sio mnono kumbuka muajiri wako kama haridhishwi na utendaji kazi wako sio rahisi marafiki zake wanao mtembelea kwenye kampuni hiyo wakakupenda
Kujitoa hupelekea watu wengine watamani uwafanyie kazi
FANYA HIVYO NA UTAKUA MWENYE FURAHA
Kwa mawasiliano zaidi
Facebook :Michael Angelo Togo
Email address :michaeltogo99@gmail.com
Ahsante
Facebook :Michael Angelo Togo
Email address :michaeltogo99@gmail.com
Ahsante
0 maoni: