Friday, January 27, 2017




Karibu msomaji wa Angelotogo blog
Ni matumaini yangu kua u mzima wa afya 
Tujifunze kuhusu mafanikio 
"MAFANIKIO"
Mafanikio kwa watu walio wengi wamekua wakijiringanisha na wengine lakini sivyo kwa mara nyingi utasikia kwa wengi walio pita shule humchukulia mtu alie kua wa kwanza kwenye mtihani hususani wa taifa kama mtu mwenye mafanikio wakijiringanisha nae 
Kwa dhanahalisi ya mafanikio ni kulinganisha ulicho kipata na marengo yako yaani unacho panga kupata 
Nikiwa shule ya msingi rafiki yangu alishika nafasi ya pili mimi nilishika namba ya mbali kidogo lakini nilifurahia nilicho kipata kilicho nishangaza nilimuona jamaa yangu akiwa amehuzunika kumbe alicho tegemea hakukipata ndio maana japo alkua wa pili ila hakufurahia kwa rugha rahisi kulingana na yeye nafasi ya pili hayakua mafanikio kwake japo mimi nilikua nafasi ya mbali niliona kwangu ni mafanikio makubwa 
Kumbe hakuna mtu anayeweza kugundua kama umefanikiwa ila ni wewe na MUNGU  tu 

0 maoni: