Karibu msomaji wa Angelotogo blog.
Ni matumaini yangu u mzima wa afya, karibu tujifunze jambo muhimu katika maisha .
Kwa nini haupaswi kukata tamaa?
>>>Ni dhahiri kwamba utakua uweshawahi kukutana na watu wengi ambao wamekata tamaa, yamkini ukawa miongoni mwa hilo kundi,
>>>Ni dhahiri kwamba utakua uweshawahi kukutana na watu wengi ambao wamekata tamaa, yamkini ukawa miongoni mwa hilo kundi,
>>watu wengi ambao nilisha kutana nao waliokata tamaa wapo katika makundi makuu mawili
>>Wanaokata tamaa mwanzo wa safari, hili ni kundi ambalo hawa watu hukata tamaa kutokana na kukutana na changamoto nyingi mwanzoni kabisa mwa safari ya kutimiza ndoto zao ,nilipokua shule ya sekondari hasa mwanzoni kipindi cha kuanza kidato cha tano, wanafunzi wengi hukata tamaa kutokana na mambo mapya na magumu wanayo kutana nayo.
>>kipindi hiki watu hukata tamaa ilihali bado kuna muda wakutosha kuweza kukabiliana na hizo changamoto,
Watu wengi hukata tamaa ilihali wana muda wakuweza kufanya mabadiliko na kuzikabili changamoto.
Watu wengi hukata tamaa ilihali wana muda wakuweza kufanya mabadiliko na kuzikabili changamoto.
>>>Kundi la pili ni lile la watu ambao hukata tamaa mwishoni kabisa kuelekea kuyafikia mafanikio ,
Fikiria mafanikio yalivyo karibu alafu unakata tamaa.
Fikiria mafanikio yalivyo karibu alafu unakata tamaa.
}}}Hatua ngumu katika kuyafikia malengo yako ni ,mwanzoni na kuelekea mwishoni, sijawahi kukutana na mtu anayekata tamaa katikati ya safari
》》makundi yote mawili ya watu Wanaokata tamaa ,wanayo nafasi ya kuepukana na hiyo changamoto, ni kujipangia mipango namna utakavyo timiza mipango yako
Ndege ambaye ana akili ndogo hutengeneza kiota akiwa na mipango yakuja kupata vifaranga kwa baadae, usiishi bila mipango, mambo hayatokei kwa bahati ni mipango ya muda mrefu.
"Watu wengi hukata tamaa mwanzoni au mwishoni mwa safari "
Ahsante
Ni rafiki yenu mpendwa; Michael Angelo Togo.
Barua pepe; michaeltogo99@gmail.com
0766746918{whatsap}
Ni rafiki yenu mpendwa; Michael Angelo Togo.
Barua pepe; michaeltogo99@gmail.com
0766746918{whatsap}
0 maoni: