Karibu msomaji wa Angelotogo blog ni matumaini yangu unaendelea vizuri.
Karibu katika makala fupi ya leo kuhusu umuhimu wa kujiandaa
>>Kujiandaa ni neno ambalo limezoeleka masikioni mwa watu wengi ,japo ni neno ambalo linauzito usioweza kupimika kwa urahisi
Sifa kuu ya mtu ambaye amejiandaa vizuri huwa anajiamini ,na huamini kuwa yeye ni mshindi na nilazima ashinde
Sifa kuu ya mtu ambaye amejiandaa vizuri huwa anajiamini ,na huamini kuwa yeye ni mshindi na nilazima ashinde
>>Sifa kuu ya mtu ambaye hapendi Kujiandaa huwa anapenda kulalamika sana, binadamu wengi hatupendi kulaumiwa ila tunapenda sana kutafuta watu ili tuwalaumu kutokana na matatizo tunayokutana nayo .
>>Huu ndio wakati wa kujiandaa ,usipo jiandaa utakuwa mtu wa kulalamika hasa itakapo fika kipindi cha uzeeni, kumbuka nchi nyingi duniani kote kwa wastani miaka 27 ndio umri ambao ukisha ufikisha inapaswa uwe tayari unajitegemea uwe unaishi kwako,unawaza utakula nini, utalala wapi, huu umri ndio wakujipanga sana ,huu sio muda wakukaa na kusubiri uletewe kutoka kwa wazazi wako.
Mda ambao mtu anaanza kujitegemea huwa hafahamu ni lini, lakini utajikuta siku moja unajitegemea hivyo utaishi kutokana na ulivyo jiandaa .
Mda ambao mtu anaanza kujitegemea huwa hafahamu ni lini, lakini utajikuta siku moja unajitegemea hivyo utaishi kutokana na ulivyo jiandaa .
>>Wekeza katika kusoma iwe makala, nukuu, vitabu, majarida, magazeti n.k, hata ukitumia nguvu kiasi gani kama hisomi vitabu mbalimbali utadumaa akili, akili zetu hupanuka kulingana na namna tunavyojifunza .
》》 hakuna tajiri duniani ambaye anatumia nguvu nyingi sana kuliko akili katika kujipatia kipato, ukiona unatumia nguvu nyingi sana (physical strength ),kuliko akili (mental strength )nitatizo inabidi ujitafakakali ili ulitatue .
Ahsante sana
Rafiki yako; Michael Angelo Togo.
Rafiki yako; Michael Angelo Togo.
0 maoni: