Monday, July 10, 2017

Namna marafiki wanavyo athiri mafanikio yako.

 Ni watu wa namna gani unao changamana nao?


  >>>Mara nyingi kwa wastani tunakua  na tabia ambazo wanakua nazo pia rafiki zetu.
Watu unaochukua muda mwingi kuongea nao, kufanya nao shughuli mbalimbali ndio Watu ambao utarithi tibia zao kwa urahisi sana


  >>>>Jitahidi kuwa na marafiki wanao kutia moyo kila unapotaka kufanya jambo lenye matokeo chanya, epuka marafiki wanao kusaidia kutekeleza jambo lenye matokeo hasi kwakua ni dhahiri hao sio marafiki wema.
 

>>>>Kila binadamu anapo badilisha mazingira, eneo jipya analokwenda lazima aweze kupata marafiki, na maranyingi marafiki utakao wapata ndio ulio penda kuwa nao.


 >>>Chagua marafiki ambao wanakitu cha ziada, kitu ambacho ukijifinza kitakusaidia, tafakari kidogo mkumbuke rafiki yako wa karibu uliye soma nae shule ya msingi, utagundua kama ulifaulu na yeye kuna uwezekano mkubwa  alifaulu katika mitihani yake, vipi kuhusu shule ya sekondari ,?yuko wapi rafiki yako mliye shibana, kama yupo chuo kuna uwezekano mkubwa na wewe utakua chuo, kama kati yenu hakufanikiwa kufika ulipo wewe basi kuna dosari katika urafiki wenu.

Ni rafiki yenu; Michael Angelo Togo
0766746918 (whatsap)

0 maoni: