Sunday, June 18, 2017

Ujumbe wa "siku ya BABA "

Mchango wa wazazi katika kila mtu binafsi maishani mwake ni kitu ambacho wengi tunajivunia, kujitoa kwao kwetu ni kwa hali ya juu na hawafanyi hivyo ili baadae walipwe, wanafanya kwa kujitolea tu, Japo tunavyozidi kukua tunasahau umuhimu wao kwetu, hivyo leo ni siku nyingine ambayo tunakumbushana kuhusu umuhimu wa baba kwetu

0 maoni: