Karibu msomaji wa Angelotogo blog
Ni matumaini yangu kuwa wewe ni buheri wa afya
Tujifunze kuhusu "Mambo yatakayo kuongezea kujiamini "

Kushindwa kujiamini ni jambo ambalo lilisha wakumba watu wengi na mimi nikiwemo kati ya hao .swali ni kwamba NI NAMNA GANI UNAVYO KABILIANA NA HIYO CHANGAMOTO ?.
Kwa upande wangu bado hiyo changamoto ninayo lakini nimejitahidi kukabiliana nayo kwa kiwango kikubwa ,hadi sasa naweza kuuvunja ukuta wa uoga na kuweza kupita hadi upande wa pili ambapo hakuna hofu na uoga ,nimejaribu mara kwa mara na hadi sasa ninaweza kuondoa kutokujiamini katika hali mbali na kwa kiwango fulani njia nilizotumia zimekua zenye mafanikio kwangu ndio maana nikapenda nikushurikishe na wewe.
Unaweza kujiuliza ni kwa namna gani naweza kupambana na hofu na kutokujiamini katika hali mbalimbali, lakini
" SWALI MUHIMU NI KWAMBA UNAWEZAJE KUONDOKANA VIPI NA KUTOKUJIAMINI? .

1#Vaa vizuri
Ukivaa vizuri utajihisi vizuri muda wote unapo changamana na wenzako na utakua tayari kukabiliana na kila changamoto, haimaanishi uvae nguo za gharama kubwa sana, inamaana mavazi mazuri yatakayo kuweka nadhifu na kukufanya ukubalike katika jamii.

2# kua na mawazo chanya .
Moja kati ya vitu muhimu nilivyo wahi kujifunza kama miaka 3 iliyopita ni kuondokana na mawazo hasi na kuwa na mawazo chanya, na kwakufanya hivyo ilinisaidia kufanikisha mambo mbalimbali kama kuchangia mawazo yangu katika mahala ambapo ilikua nivigumu kuchangia mawazo yangu.

3#jitambue
"Wanajeshi wanapokua wakijiandaa kwenda vitani kitu cha msingi wanacho jifunza ni kusoma maadui zao, huwezi kumshinda hadui yako kama hujamsoma vizuri, jitambue vizuri na ainisha mambo unayo yafikiria juu yako, fikiria kuhusu ukomo wako wa kutenda mambo fulani, kisha ondoa mawazo hasi na weka mawazo chanya.
4# Jiandae vizuri
Ni vigumu kujiamini endapo una imani kwamba hutafanya jambo fulani kwa usahihi, epukana na hiyo changamoto kwa kujiandaa, fikiria kuhusu mtihani kama hukujiandaa huwezi kujiamini hata kidogo kuhusu uwezo wako, lakini kama ukijiandaa inakufanya unajiamini "sasa fikiria maisha yako kama mtihani na Jiandae.

5#Jiwekee malengo madogo na uyatimize
Sikosoi nukuu maarufu "shoot to the moon, so that if you misses you will land in one among the stars "
Jiwekee malengo ambayo unaweza kuyatimiza ,kila mara utakapokua ukitimiza mipango yako ndivyo utakavyozidi kujiamini na utazidi kujiwekea malengo makubwa kila siku na hakika utayatimiza.

6#badili tabia ndogo
Tabia ndogo kama kuanza kujipangia ratiba, kujiandaa mapema, na kama kitu unakifahamu basi kifanye kwa juhudi zako zote.
7#Jiendeleza kwa kutafuta maarifa
Kujongezea maarifa ni njia muhimu ya kujiongezea kujiamini na ufasaha katika mambo mbalimbali ,unaweza kufanya hivi kwa kusoma magazeti, makala, nukuu, na kusoma vitabu pia.
Ni rafiki yako
Michael Angelo Togo
Barua pepe; michaeltogo99@gmail.com
Ahsante

0 maoni: