{Kutokua na maamuzi ya kuanza }
Kila kitu unacho kiwaza unaweza kukipata endapo utakua na maamuzi ya kuanza kufanyia kazi ndoto zako, japo katika kuanza kufanya kitu fulani huwa kuna changamoto nyingi hivyo inakuhitaji ujitoe kikamilifu kwa muda na mali na nguvu pia, ni vizuri kuanza kufanyia kazi ndoto zako mapema kwani miaka michache ijayo utajutia kwa mambo ambayo ulpata fursa ya kuyatenda lakini hauku yatenda ,hivyo basi kwa hakika mpendwa msomaji huu ni wakati sahihi sana wa kuanza kutimiza mipango yako, ni dhahiri kua muda sahihi wa kupanda mti ulikua miaka ishirini iliyopita na wakati mwingine ni sasa, kila kitu unacho tamani kukifanya huu ndio wakati sahihi kwani kukata tamaa ni adui mkubwa wa mafanikio, kubali wajibu amini ndoto zako utazitimiza mwenyewe,
Mwandishi mmoja aliwahi kuandika "kama utashindwa kutimiza ndoto zako kuna mtu atakuajiri umtimizie ndoto zake"
Kubali kupambana na changamoto, kwani katika kila changamoto kuna fursa.

{Kutokujiamini na kukosa nidhamu }
Nidhamu ni ufunguo wa mafanikio endapo utafahamu nini unapaswa kufanya katika wakati fulani na mahala fulani ,ili ufanikiwe lazima uwe na nidhamu ya hali ya juu katika kukamilisha ratiba yako, japo kufuata ratiba ni jambo gumu sana na mtu anayefuata ratiba kwa mujibu wangu namuona kama mtu mwenye nidhamu ya hali ya juu, nasema ana nidhamu kwakua kuna wakati anajinyima kufanya mambo ya kujifurahisha kuna siku kadhaa hukatisha usingizi ili tu atimize ratiba yake, Nidhamu humjengea mtu kujiamini hivyo usiogope kujisimamia kwa kitu unacho kiamini hata kama utakua peke yako jitahidi kusahau sababu zote za kutokufanikiwa na waza na fanyia kazi ile moja unayo amini itakusaidia kufikia mafanikio kumbuka "ukisema kua nivigumu kufanya jambo fulani inamaana kua huna nguvu zakutosha kupambana ili upate hilo jambo"

Ahsante sana
Ni rafiki yako ;Michael Angelo Togo
mwandishi wa angelotogo blog
Mawasiliano:
0766746918 (whatsap)
Barua pepe :michaeltogo99@gmail.com
Ni rafiki yako ;Michael Angelo Togo
mwandishi wa angelotogo blog
Mawasiliano:
0766746918 (whatsap)
Barua pepe :michaeltogo99@gmail.com
0 maoni: